Nyumba ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master, sebule, jiko na public toilet ndani. Umeme na maji vyote vipo, nyumba ipo ndani ya uzio na barabara yake ni rafiki mpaka kwenye nyumba, eneo ni kubwa na uani kuna mabanda ya kuku, karibu sana maongezi yapo.