Nyumba ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master, sebule, dinning, jiko na public toilet ndani. Pia ina jiko la nnje, parking kubwa, garden nziri ya maua, barabara yake ni nzuri kutoka lami mpaka nyumbani na ni km3 tu, hati yake ni ya mauziano ya serekali ya mtaa. Karibu sana maongezi kidogo yapo