Nyumba nzuri sana mpya inauzwa tshs milioni 50
maongezi yapo
ina vyumba v3 vya kulala kimojawapo ni masta bedroom sebule kubwa dining room kubwa jiko ina vyoo vya family ndani bado finishing tu
size sqmiter
docoment sale agreement mtaa mzuri sn
location kibamba kwa mangi umbali wa km 2 bodaboda shilingi elfu moja