Ghorofa lina uzwa
location:kaliakoo
mtaa wa kiungani street
kuna vyumba 10 floor no 1
floor no 2 ina vyumba 10
ground floor ina flem 10
mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7
na kuna godown 1
eneo lite lina sqm 290
bei ni bilion 2.5 maongezi kidogo sana
mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile unafanya
eneo lina hati safi toka wizara ya aridhi