Nyumba inapatikana Mwanza Nyakato ina vyumba vinne vya kulala vyote n master sebure mbili, jiko stoo, kwa nje kuna nyumba ya wapangaj ya chumba, sebure self sehem ya kupikia na kuna chumba self ya wapangaj n nyumba ya pili kutoka barabara ya lami,maj na umeme vipo ,parking ipo,ina hati miliki nk inauzw` maongez yapoooo `