Faida yake hii ni portable unaeza ukabenba ukaweka popote utakapo inasaidia kwa mazowz ya kuchoma mafuta(burn calories) kuweka sawa mapigo ya moyo (heart rate) inakata na kuondoa nyama zembe kama una uzito mkubwa anza kwanza na hiyo kupunguza mafuta na uzito uliokithiri