Spinning bike kifaa Bora Cha mazoezi ya mwili mzima ni aina ya baiskeli itakayokupa urahisi wa kupunguza uzito,na kuondoa mafuta yaliyokithiri,itakupa urahisi kuondokana na magonjwa nyemelez kama pressure,kisukari,nk,pia Ina display inayoonyesha calories,speed,time,distance,heart rate nk