Olympic dumbbell bar ni bar ya chuma imara iliyotengenezwa kwa kiwango cha Olympic, yenye sleeves za 50mm zinazoendana na Olympic weight plates. Ina knurling kwa mshiko mzuri na bearing/brushings zinazowezesha mzunguko laini wakati wa mazoezi. Inafaa kwa mazoezi ya nguvu na matumizi ya gym.