MMA Punching Bag
Bado tutaendelea kukuletea huduma zilizo bora na za kiwango cha juu kwasababu wewe ni mteja wa thamani kwetu
Hii ni moja ya punching bag iliyo bora zaid kwani kupitia hii utajifunza kuimarisha speed na stance mbali mbali wakati wa mazoezi
Urefu wake unaweza kuongeza au kupunguza kutokana na kimo chako
Speed ya spinning bar unaweza tumia umeme au manual ili kuongeza speed
Stand yake ni imara kwani inapokaa haiwezi kucheza hata uwe na ngumi nzito kiasi gan