Home gym single station , hiiii ni kwajili ya full body workout , yani ukiwa na gym station unaweza fanya mazoezi ya , chest ,shoulder , arms , legs, pia ukapiga kata tumbo , bring your gym to home by buying this home station gym , mikoani tunatuma , kwa dar delivery tunafanya