Hexagon Rubber Dumbbell 3KG ni chuma kizito chenye mipira ya mpira mgumu (rubber-coated) kinachozuia kuteleza na kulinda sakafu. Kimeundwa kwa ubora wa juu kwa mazoezi ya mikono, mabega, kifua na mgongo. Kina umbo la hexagon lisilozunguka chini wakati wa mazoezi. Ni imara, salama, na kinafaa kwa gym ya nyumbani au professional gym.