Unatafuta gloves zenye muonekano wa kisasa na ulinzi wa mikono? Hizi hapa ni kwa ajili yako!
Muundo wa kisasa na wa kuvutia
Sehemu ya kiganja ina kinga ngumu
Hazifuni vidole vyote, hivyo huruhusu vidole kubaki wazi
Zina kamba ya kufunga kwenye kifundo cha mkono
Zinapatikana kwa rangi tofauti: Khaki, Olive na Nyeusi.