tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Leisure & Activities
  3. Sports Equipment
  4. Barbells
Dar es Salaam, Ilala, 04/06
3 views

4-in-1 Adjustable Weight Set

+1
Other
Brand
Other
Type
Brand New
Condition
Dumbbells - juu kushoto unaona seti ya dumbbell mbili. Kwa kuweka vipande vya uzito kwenye viboko vifupi, unafanya mazoezi ya mikono na mabega 2. Kettlebell - juu kulia. Chukua vipande vya uzito, viweke kwenye handle nyekundu yenye kushikilia, unapata kettlebell ya kufanya swings na mazoezi ya mwili mzima 3. Barbell ya moja kwa moja katikati chini. Unganisha viboko vyote viwili na ile fimbo ndefu nyeusi, unapata barbell ya mazoezi ya kifua, mgongo na miguu 4. EZ Bar - chini kabisa. Hiyo fimbo yenye mnyororo inaitwa EZ bar. Ni poa zaidi kwa mazoezi ya biceps kwa sababu inakaa vizuri mkononi na haumizi mkono 5. Rangi nyeusi na nyekundu - design inavutia na vipande vimefunikwa plastiki nyeusi hivyo hazifanyi kelele na haziharibu sakafu kama zikianguka
TSh 300,000
Fixed price
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif