Vaseline intesive care
its cocoa radiant body oil with pure body jel oil fresh kutoka uk
haya mafuta ni mazuri mno na ni original kabisa kutoka uk yanalainisha ngozi na kuicha na unyevu nyevu muda wote kwa mahitaj nipigie au ...
"wix body cream " ni cream nzuri kwa ajili ya mwili mzima ambayo imeundwa kwa mimea mbali mbali pia shea butter na cocoa butter .
.
.Kazi ya Wix ...........
. - Wix inasaidia katika kuondoa ukavu wa ngozi yako .
. ...
"Rinju lotion " ni lotion kwa ajili ya mwili mzima , ambayo imeundwa kwa Vitamin na madini mbalimbali .
.
.Ni lotion ambayo itakufanya kuwa na muonekano halisi wa ngozi yako , kwasababu ina Vitamins kama E .
.Ni lotion ambayo...
Fair and white gold 2 oil .
.
. ni mafuta ya maji ambayo kazi yake ni kukuweka soft kabisa .
. ni mafuta ya maji ambayo kazi yake ni kuondoa makovu kwenye ngozi .
. ni mafuta ya maji ambayo yanaludisha muonekano halisi wa ngo...
Vitamin "e" skin care ( all over the body) ...
.
.💥ni lotion ambayo imejaa(imeundwa ) kwa vitamini mbali mbali kam "k" , ila imejaa sana vitamin "e" .
.💥ni lotion ambayo itaondoa ukavu wote wa ngozi yako ! .
.💥ni lotion ambay...
"Queen Elizabeth " ni cream ya mwili mzima , ambayo imeundwa kwa mmea wa cocoa butter halisi .
•Kazi yake ni -kukufanya kuwa soft mwili mzima .
. -Kuondoa ukavu na ukakamavu wa ngozi .
. ...
"Skin grow body cream " ni kwa ajili ya mwili mzima , ambayo imeundwa kwa mimea ya aina mbalimbali .
.
.Inakuacha ukiwa mng'avu kabisa .
.Inakuacha ukiwa soft kabisa .
.Itakupa matokeo ya haraka .
.Inatumika na ngozi za ain...
"lanbena , scar and acne removal Gel "
.
. Ni gel nzuri sana kwa ngozi ya aina yeyote (yenye mafuta, kavu na ya kawaida .
.
.Ni gel inafanya kazi
. Gel ambayo inaondoa chunusi
. Gel ambayo inaondoa makovu
. Gel a...
"BUTUOER " (butwaa) cream ambayo imetengezezwa na natural plants (mimea ya asili ) , ambayo kazi yake ni inaondoa chunusi na harara ; inaondoa mabaka mabaka na wekundu usoni na kukuacho soft kabisa.
pia inasabuni yake am...
"vaseline cocoa body oil " ni jelly ya mwili ambayo imeundwa na cocoa butter halisi(mmea wenyewe) ,
kazi yake ,
-inaondoa ukavu wa ngozi .
-inapunguza athari za mionzi ya jua .
-inasaidia kuludisha muonekano halisi wa ngo...
"b.b crear cream " ni cream ya usoni nzuri sana
inatumika na ngozi za aina zote .
ambayo kazi yake ni
kuondoa madoa na makovu makovu .
kukung'arisha usoni .
kuondoa makunyanzi .
kuondoa vishimovishomo usoni
Oman beauty .
.
.Ni cream ambayo inafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja
💥inaondoa madoa madoa
💥inang'arisha kabisa
💥inaondoa makunyanzi
💥inaondoa vidoti vyeusi .
.
.Ni original kabisa .
.
.Na ni uhakika kabisa .
"palmers cocoa , oil " ni mafuta kwa ajili ya mwili mzima ambayo yameundwa kwa mmea wa cocoa , Soybean ,Sesame , Safflower .
.
.Kazi kubwa ya hii ;
. - Kuondoa ukavu wa ngozi yako kabisa .
. ...
1. It can be applied to dry, cracked and rough skin, moisturize, soften skin, leaving smooth and tender,
and can cure dry and hard skin.
2.Repair tough, dry, cracked and thickened skin on feet. Remove dead skin, leaving skin ...
"Ever Sheen , cocoa butter , body cream "
-Ni lotion ya mwili mzima ambayo itakufanya kuwa na ngozi nyororo na lain ,pia kukufanya kupata muonekano wa kijana muda wote .
-Pia huondoa mikunjo mikunjo na ukavu wa ngozi ...
"american dream cream , ni cream ya usoni ambayo imeundwa kwa vitu mbali mbali kama vitamin E ambavo ni muhimu kwa ngozi yako !!!!.
.
.Kazi yake ni ......
. -Kama ngozi yako ya mafuta itanyonya mafuta n kukupa ukavu ...
"American Dream " ni cream ya mwili mzima , ambayo imeundwa mmea wa cocoa buttet halisi .
American dream , cocoa butter kazi yake ni ;-
-kuondoa ukavu wa ngozi .
-Kukupa muonekano halisi wa ngozi yako .
-Husaidia kuondoa...
1pcs Nail treatment /onychomycosis Paronychia / anti fungal nail infection good result Chinese Herbal toe nail fungus treatment
Chinese 100% Natural Herbal Treatment
Description: Ringworm of the nails is also called a moss, t...
"American Dream body cream ambayo imeundwa kwa mchanga wa mmea wa cocoa na limao , pia inang'arisha ngozi .
kazi ;- inaondoa ukavu wa ngozi .
;-ndani yake kuna vitamin E kwa wingi ambavyo ni muhimu kwa ngozi .
;-Ni nzuri kw...
"cherry cream " ni nzuri sana kwa ajili ya usoni .
.
.Imeundwa kwa mimea mbali mbali ambayo ni ya asili kabisa .
.
. cherry husaidia .....
. --- Husaidia kuondoa makunyanzi ya usoni .
. - Husaidia kun'garisha uso .
. ...
"Rubee " ni lotion ya mikono na mwili mzima , ambayo inaundwa kwa cocoa butter na Vitamin E .
.
.Rubee lotion imeundwa kwa manukato mazuri sana ambayo yatakufanya kuwa fresh muda wote .
.
.Rubee lotion ;-inakifanya kuwa n...
Lotion kwa ajili ya mwili mzima , ambayo itakupa mwonekano mzuri na ang'avu siku zote .
Pia huondoa chunusi , husawazisha ngozi(wale wenye vishimo vishimo) , makovu . Original kabisa .
Matumizi ; Hakikisha unapaka asub...
Vovi cleanser (kitakasa uso ) .
.
. Vovi cleanser ni kwa ajili ya kusafisha uso na kuondoa uchafu
wote kwenye ngozi yako na kukuacha ngozi soft .
.
. Kuna vovi kwa ajili ya wenye chunusi ambayo imeundwa na "salicylic a...
"fair and white gold lotion "
.
.Ni lotion ambayo wewe ambaye unapenda kupendeza na kuwa soft lazima uwe nayo !!!
.
.👉Ni lotion ambayo inakufanya kuwa na ngozi laina (soft ) na nyororo kabisa .
.👉Ni lotion ambayo inang'ari...
"fair and white gold lotion "
.
.Ni lotion ambayo wewe ambaye unapenda kupendeza na kuwa soft lazima uwe nayo !!!
.
.👉Ni lotion ambayo inakufanya kuwa na ngozi laina (soft ) na nyororo kabisa .
.👉Ni lotion ambayo inang'ari...