Nyumba mpya inauzwa
ipo kitunda kivule
bei tsh milion 45 maongezi yapo
ukubwa wa eneo sqm 400
umiliki:mauziano ya serikali ya mtaa
vyumba 4 vya kulala
chumba kimoja master
sitting room
kitchen
public toilet
tiles
gypsum
maji yapo dawasa
umeme upo
fenced and gate
gharama ya kupelekwa site kuona nyumba tsh 30,000/=