Je, unatafuta fundi bingwa wa kufanya finishing na kupiga rangi za kuvutia kwenye furniture zako?
Karibu Kapesa Furniture! Tunapokea oda za kila aina za fenicha na kufanya kazi za viwango vya juu kabisa:
* Tunapiga rangi (spraying) na kufanya finishing safi ya kisasa kwa kabati, vitanda, meza, na milango.
* Tunapokea oda zote za kutengeneza na kupendezesha samani kwa ubora na umakini mkubwa.
* Kazi nzuri, zenye kung'aa na zinazodumu kwa bei nafuu kabisa.
Wasiliana nasi sasa kwa simu au WhatsApp:
+
Huduma zetu zinapatikana Dar es Salaam. Karibu tukuhudumie!