Kitchen cabinets design, bei ya jumla hadi tuje kupima ukubwa wa jiko lako, square metre moja kwa mbao ya mninga/mkongo ni milioni moja lak 2 mdf/softwood metre moja laki nane
Tunauza na kutengeneza furniture mbalimbali weka order ama chagua kutoka Katika picha ulizoziona Katika page yetu ya @joy_funitures ama tutumie Whatsapp picha ya kitu unahitaji tukutengenezee
Tunapokea order na tunatuma mkoa ...