tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Property
  3. Commercial Property For Rent
Dar es Salaam, Ilala, 28/05
6 views

Nyumba Iko Mbezi Inapangiishwa

+1
1
Apartment
Property Type
Mbezio
Address
Furnished
Furnishing
Newly-Built
Condition
450sqm
Square Metres
3
Parking Spaces
180days
Minimum Rent Time
20000
Agency Fee
800000
Legal and Agreement Fee
0
Caution Fee
Nyumba hii nzuri ipo mtaa mzuri sana inapangishwa zipo nne tuu kwenye fensi moja bei ni 800,000/= x 6 nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa #sebule kubwa #dinning #jiko kubwa la kisasa #public toilet #luku na mita ya maji dawasa inajitegemea #parking kubwa #garden #zipo nyumba nne kwenye fensi moja nyumba zimefungwa ac vyumbani na sebuleni na maji yamoto vyooni na jikoni bei ni 800,000/= x 6 nyumba hii ipo mbezi stand ya magufuli ni dakika kumi kwa kutembea kwa miguu kutoka stand ya magufuli mbezi swala la usafi na kuudumia garden pamoja na mlinzi ni jukumu la mmiliki wa nyumba hlo halimuhusu mpangaji ukipanda boda boda ni 1000 kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 20 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi ya mwezi mmoja
Nyumba Iko Mbezi InapangiishwaNyumba Iko Mbezi InapangiishwaNyumba Iko Mbezi InapangiishwaNyumba Iko Mbezi InapangiishwaNyumba Iko Mbezi Inapangiishwa
TSh 800,000
1 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • It's safer not to pay ahead for inspections
  • Ask friends or somebody you trust to accompany you for viewing
  • Look around the apartment to ensure it meets your expectations
  • Don't pay beforehand if they won't let you move in immediately
  • Verify that the account details belong to the right property owner before initiating payment
frame_left.gif