Eneo linauzwa maeneo ya mombasa gongo la mboto ,linauzwa lina full document ni kubwa urefu wa mita 120 limezungushiwa fensi na lina uwazi ndan ardhi yenye mchanga safi ata kwa ujenz hakuna kuhangaika kununua mchanga,lipo karibu na barabara kuu hatua 20 tu unafika, eneo lina fremu nnje kumi na choo ndani na nje,linaminaz nje na ndan ya nnje ikitumika kama mpaka,fremu ni kubwa na zina mageti original ya kisasa,pia kuna nyumba ndan yake kama chumba na sebule . mwenye uhitaji napatikana kwa : nichek Whatsup kwa picture na video zaid za eneo
Kabati used la milango mitatu linauzwa, lipo kwenye condition nzuri sana limetumiwa kwa miezi mitano tu! mwenye kabati anahama mji ndio maana anauza.
kwa mawasiliano : piga au whatsup
Eneo lipo katika hali nzuri, mawe (yenye namba) ya mipaka yameshaoandwa.
lipo mkundi minara mitatu (zinapoishia hiace za moro mjini - mkundi, mkono wa kushoto uikiwa unaeleka dom
Eneo linauzwa maeneo ya bagamoyo mtaa wa mlimani cirty... eneo nizuri lipo karibu na barabara kuu na liana ukubwa wa sqm 600 na zaidi ndani ya eneo kuna pagala na eneo lina hati miliki ya mhusika... karibuni... maongezi yapo
Nyumba inauzwa chapchap
sqm : 400
loc : chamazi
umiliki : sales agreement,
_________________________________________
call whatsapp &sms
__________________________________________________________________
hii sio ya kuikosa,,,,,.........!!!!!! Piga simu ukague.... .
.
-4bedrooms 1self
-sitting room
-public toilet
-kitchen
umiliki serikali za mtaa
eneo zuri linafikika na huduma zote zipo
kupelekwa site elf 20
____________________________________________
mahitaji yako ya nyumba / vyumba/maeneo ya biashara ...Ya kupanga na kununua....Mashamba/viwanja/ magari nk .....Usisite wasiliana nasi haraka
mawasiliano
Lipo ekari 40 linafaa kwa kilimo. 300000 kwa heka mazungumzo yapo kuhusu bei. Nahitaji anayeweza kilichukua lote kwa pamoja. Halina udalali Mimi ndio mmiliki
Eneo (kiwanja) linauzwa, kuna nyumba ndogo mbili ndani ya eneo
ukubwa : sqm 1300
loc : kimara temboni
umiliki : karatasi za serikali ya mtaa, pameshapimwa na hati iko mbioni kutoka
hii sio ya kuikosa
Piga simu ukague.
Umiliki karatasi za serikali ya mtaa ila pameshapimwa na hati iko karibuni kutoka
kupelekwa site elf 20
mahitaji yako ya nyumba / vyumba/maeneo ya biashara ...Ya kupanga na kununua....Mashamba/viwanja/ magari nk .....Usisite wasiliana nasi haraka
Shamba linauzwa
loc : mkuranga kibululu
ukubwa : heka 4
Shamba lina miembe, michungwa, migomba midogo, minazi, korosho, limao, stafeli, mipapai, pia kuna kisima cha maji
umbali wa kama km 3 kutoka barabara kuu
Eneo la linauzwa kibaha mwareni,zipo eka 8,zipo pembeni ya morogoro road,zuri kwa kujenga sheli,viwanda ,makazi,shule
Lina nyumba kubwa kisasa
Milioni 400
lina hati
shamba linauzwa msata
zipo eka 200,,kila eka moja milioni 1.km 3 toka tanga road
ata ukitaka chache utauziwa
shamba zuri kwa kilimo na ufugaji na pia makazi.umeme hautakua mbali toka shamba076*********
Shamba hekari saba linauzwa maeneo ya kibaha mlandizi. Kila hekari moja inauzwa shilingi milioni mbili. Shimba lipo umbali wa km 5 kutoka morogoro road.
Shamba lipo pembeni ya shule na linafaa kwa makazi, kilimo, ufugaji na viwanda.
Shamba lipo karibu na kiwanda cha nondo kiluwa