Nyumba pagale la vyumba 3 sebule dining jiko stoo master pablic, yenye eneo sqmita 400 sawa na mita 20 Kwa mita 20, inauzwa milioni 15,000,000/ ipo Gongolamboto Majohe Bwela, ipo mtaa mzuri, huduma zote za kijamii zipo karibu na pagale hili/Romeni John/Mazizini.