Nyumba mbili ndani ya eneo moja zinauzwa milioni 75,000,000/ zipo Ukonga Pugu Kajiungeni location, zipo mtaa mzuri Sana wa kishua, nyumba kubwa ina vyumba 3 sebule dining jiko, nyumba ndogo ina vyumba 3 milango inatazama nje, bei ni maelewano, huduma zote za kijamii zipo karibu na nyumba hizi/Romeni John/Pugu shule ya msingi.