Ghorofa la vyumba 5 vyote ni self, sebule mbili, majiko mawili, dining, pablic pia kuna nyumba nyingine ya vyumba viwili pembeni yake, linauzwa milioni 900,000,000/ lipo Ukonga Pugu Kigogo, lipo karibu na Barabara kubwa ya lami, huduma zote za kijamii zipo karibu na Ghorofa hili/Romeni John/LTD kona.