Nyumba nzuri sana ya kifahari, yenye vyumba 3 vya kulala, viwili ni master, sebule kubwa, dining, jiko la makabati stoo, yenye eneo sqmita 1200 ndani ya fensi, inauzwa milioni 270,000,000/, ipo Tabata Segerea jijini Daresalaam, ipo mtaa mzuri wa kishua, huduma zote za kijamii zipo karibu na nyumba hii/Romeni John/Haule.