Nyumba ya vyumba 10 yenye wapangaji, yenye eneo sqmita 900, inatazama barabara kubwa ya kiwango Cha vumbi, inauzwa milioni 47,500,000/ ipo Ukonga Majohe kata ya Kivule, ipo mtaa mzuri wa kibiashara, huduma zote za kijamii zipo karibu na nyumba hii, bei ni maelewano/Romeni John/J, Makobe.