Nyumba ya vyumba viwili sebule jiko master pablic ndani ya fensi, inapangishwa milioni 1.8 ipo Mulimani city Kinondoni, Kodi miezi sita na mwezi mmoja wa madalali, nyumba hii ina kila kitu ndani, huduma zote za kijamii zipo karibu na apartment hii/ Selebobo.