Apartment ya vyumba viwili vyote ni master sebule dining jiko pablic yenye fenicha ndani, inapangishwa laki tano kwa mwezi mmoja, / malipo miezi 12 na mwezi mmoja wa madalali, ipo Ukonga Mazizini location, ipo mtaa wa kishua, huduma zote za kijamii zipo karibu na apartment hii/Romeni John/Mazizini.