Gesti ya vyumba 8 vyote ni self, inapangishwa laki sita Kwa mwezi mmoja, malipo miezi miwili na kuendelea, + mwezi mmoja wa madalali, ipo Ukonga Kitunda Machimbo, ipo mtaa mzuri Sana, huduma zote za kijamii zipo karibu na Gesti hii, inafaa kibiashara au kupanga familia kubwa. Wateja Wote mnakaribishwa/ Mkurya.