Apartment mbili zenye vyumba 6 vya kulala sebule dining jiko pablic ndani ya fensi, yenye eneo sqmita 1600 inapangishwa milioni 1500,000/ipo Ukonga Kinyerezi location, ipo mtaa wa kishua, karibu na Barabara ya lami, huduma zote za kijamii zipo karibu na apartment hizi/Romeni John.