Nyumba ya vyumba 4 sebule dining jiko stoo master pablic ndani ya fensi, inapangishwa laki tatu kwa mwezi mmoja, malipo miezi sita na mwezi mmoja wa madalali, ipo Pugu Kwa Mstafa, ipo mtaa mzuri Sana wa kishua, huduma zote za kijamii zipo karibu na nyumba hii/Romeni John/Kona.