Nyumba ya vyumba 4 sebule dining jiko stoo master pablic yenye eneo sqmita 400, inapangishwa laki 400,000/ kwa mwezi mmoja, malipo miezi sita na mwezi mmoja wa madalali, ipo Ukonga Pugu Kajiungeni location, huduma zote za kijamii zipo karibu na nyumba hii/Romeni John/LTD kona.