Ghorofa la vyumba 4 viwili ni master, sebule dining jiko stoo, ndani ya fensi, linapangishwa laki saba, 700,000/ kwa mwezi mmoja, malipo miezi sita na mwezi mmoja wa madalali,lipo Ukonga Kitunda Nyangasa, huduma zote za kijamii zipo karibu na ghorofa hili/Romeni John/Joo.