Nyumba ya vyumba 3 sebule dining jiko stoo master pablic ndani ya fensi inapangishwa laki 300,000/ kwa mwezi mmoja, malipo miezi sita au minne na mwezi mmoja wa madalali, ipo Ukonga Pugu Kigogo fresh, ipo mtaa mzuri Sana, huduma zote za kijamii zipo karibu na nyumba hii/Romeni John/Kiongozi.