Apartment ya vyumba viwili vya kulala na sebule vyoo vya nje, inapangishwa elfu 80,000/ kwa mwezi mmoja, malipo miezi sita au mitatu na mwezi mmoja wa madalali, ipo Ukonga Majohe Chuo Rada, jirani na stendi, huduma zote za kijamii zipo karibu na nyumba hii/Romeni John.