Apartment ya vyumba viwili kimoja master, sebule jiko pablic choo, ndani ya fensi, inapangishwa Tsh 300,000/ Kwa mwezi mmoja, malipo miezi sita au mitatu na mwezi mmoja wa madalali, ipo Pugu Kajungeni, huduma zote za kijamii zipo karibu na apartment hii/Romeni John/Kona.