Apartment ya vyumba viwili sebule jiko pablic toilet ndani ya fensi, inapangishwa laki mbili Kwa mwezi mmoja, malipo miezi sita au mitatu na mwezi mmoja wa madalali, ipo Ukonga Majohe viwege Kwa mpemba,ipo mtaa mzuri Sana huduma zote za kijamii zipo karibu na nyumba hii/Romeni John/Msingida.