Apartment ya vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, master, pablic ndani ya fensi, inapangishwa laki 300,000/ kwa mwezi mmoja, malipo miezi sita na mwezi mmoja wa madalali, ni apartment mpyaa, ipo Ukonga Moshibar Kwa Mkolemba location, huduma zote za kijamii zipo karibu na apartment hii/Romeni John.