Chumba kimoja sio master, choo Cha nje, kinapangishwa elfu 50,000/ kwa mwezi mmoja, malipo miezi sita au mitatu na mwezi mmoja wa madalali,kipo Gongolamboto Majohe viwege mtaa mzuri, huduma zote za kijamii zipo karibu na chumba hiki/Romeni John/Zena.