Apartment mbili katika nyumba Moja zinapangishwa, kila apartment Moja ina chumba self sebule na jiko, laki Moja tu, hivyo zikiwa apartment zote mbili kwa pamoja zinapangishwa laki mbili, malipo miezi sita au mitatu, na mwezi mmoja wa madalali, zipo Ukonga Majohe viwege Kwa mpemba, huduma zote za kijamii zipo karibu na apartment hizi.