Tanzania DSM llala Ukonga Moshibar location stendi.
Ilala Ukonga Moshibar stendi.
Open now
• Mon - Sun, 02:00-12:00
Gesti ya vyumba 15 inauzwa milioni 65 ipo Ukonga Moshibar karibu na stendi ya daladala, inafanya kazi, biashara masaa 24, bei ni maelewano, ipo mtaa mzuri Sana umechangamka. Mauzo kila siku wastani ni tsh 150,000/