Eneo la kibiashara sqmita 3000, lenye nyumba ya vyumba 3 sebule dining jiko stoo master pablic ndani ya fensi, linauzwa milioni 500,000,000/ lipo Ukonga Moshibar Kwa Mkolemba location, linatazama barabara kubwa ya kiwango cha lami, huduma zote za kijamii zipo karibu na eneo hili/ Romeni John.