Gesti,yenye vyumba 20,bar, ukumbi na Restaurant vinauzwa vyote kwa pamoja kwa bei ya tsh milioni 150,000,000/ Mkoa wa pwani Bagamoyo Sadani, mapato kwa mwezi ni zaidi ya milioni sita, (6 ) Upande wa gesti tu, bado upande wa bar, ukumbi na sehemu ya chakula. Mradi huu upo karibu na mbuga ya watalii ya wanyama Sadani na Kambi ya Jeshi la wananchi, Hivyo eneo hili ni la kibiashara zaidi./Dula/ Msukuma.