Nyumba ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master, sebule, dining, jiko na public toilet. Ipo ndani ya fence yenye kiwanja cha sqm500, ipo umbali wa mita 700 kutoka lami ya madale. Barabara yake ni nzuri hata kwa gari ya chini mpaka kwenye nyumba. Nyumba hii ina document ya hati ya mauziano ya serekali ya mtaa. Karibu sana maongezi kidogo yapo