Nyumba unfinished nzuri Sana inauzwa:
Nyumba ipo mtaa mzuri Sana na nikaribu kabisa na Barabara kubwa
Room 3 moja self
Dirning sitting jiko stoo na public toilet
Eneo-sqm 500 kumepimwa hati bado
Bei-ml 90 maongezi
Location -Madale mwisho
Umbali-mita 70 kutoka kutoka Barabara kubwa
Karibuni