Nyumba iko karibu na stand zingiziwa usafiri unapatika muda wowote ndani ya dar es salaam, ina vyumba viwili nje ya nyumba ndani ya fance na kuna mabanda ya mifugo pia kuna choo cha nje, fance kubwa sana. karibuni sana tukuhudumie
ina vyumba vya kulala vinne master 2. jiko, sitting, dinning, public toilet, maji na umeme upo na watu wanaishi. ukubwa ni 25x25 haina udalali karibu bei inapungua