Nyumba inauzwa chanika,ina vyumba vitatu vya kulala,sitting room,,kitchen,public toilet,mbele kuna mafelem mawilli... hii nyumba mpya,inahitaji finishing kidogo... ila taili tayali,wayaring tayali bado kuingiza umeme maji... pia hakuna chumba chenye Master... ila nafasi ipo kubwa ya kuweka choo cha master kwa kua kiwanja kikubwa.nyumba ipo mtaan... panafikika vzr tuu... bei iyo haina mapunguzo... haina kupungua.karibu uje kuona nyumba .service charge kwenda kuona nyumba tsh 50000/=... karibu