Nyumba Inajitegemea yenyewe kwenye fence yake, nyumba hii ina vyumba 3 vya kulala viwili ni master, sebule kubwa, dining room, jiko kubwa na public toilet ndani. Umeme na maji vyote vipo. Inafikika na usafir wa aina yoyote kwa nyakati zote za masika na kiangazi.