Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi mzambarauni nyumba ya vyumba 3 stingingroom dainingiroom kicheni stoo master toilet public nyumba umeme upo maji yapo nyumba mpya ukubwa WA kiwanja sqm 400 nyumba Hati yake ya mauziano ya serekali ya mtaa nyumba bei ml 90 nyumba mpya