Nyumba hyo inapatikana Mwanza Busweru Isela, nyumba ina hat miliki, vyumba vitatu vyakulala vyote n self na kla chumba kina sehem yakuweka kabat ya nguo,sebure kubwa, dinning, jiko kubwa na limejengewa sehem za kupikia na kuoshea vyombo, stoo kubwa, maj n umeme vipo, kiwanja n kilubwa sana unajenga nyumba nyingine kubwa said ya hyo, inauzwa 68million karbu sana makngez yapooo075XXXXXXX