Nyumba inapatikana Mwanza Busweru n nyumba ya kwanza kwenye barabara ya lami(iko kwenye barabara ya lami) ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master sebure kubwa dinning jiko stoo, choo na bafu vya public, kwa nje kuna vyumba viwili, chumba kimoja self na chumba kingine master, sehem ya kupumzikia, choo na bafu vya nje, stoo ya nje, nyumba iko ndan ya fensi, inauzwa 70million karbu Sana cm075XXXXXXX