Godown langu lipo Bunju kwa Jumbe lipo wazi mteja kamaliza muda wake lina sqm 600 nafanya $ 3kwa sqm maongezi kidogo kodi ya 1 year lipo Jirani na SIDEWAY BAR OPPOSITE NA OLYMPIC PETROL STATION mkono wa kushoto kama waelekea Bagamoyo linatazama lami ya Bagamoyo Road